INTERNATIONAL NEWS

Kim Jong-un kukutana na Moon Jae-in....


Ikiwa ni takribani miaka kumi sasa tokea mara ya mwisho waliokuwa viongozi wa mataifa hayo makubwa (Korea Kusini na Korea Kaskazini) kukutana 2007, viongozi wa mataifa hayo mawli kwa sasa  wanatarajiwa  kukutana mwezi ujao (late April) kwa mazungumzo mjini Pyongyang-mji mkuu wa Korea ya Kaskazini.

Pamoja na mambo mengine inatarajiwa kuwa mazungumzo hayo yatasaidia kupunguza vitisho na majaribio ya nyukilia yanayofanywa na Korea ya Kaskazini. Kwa kipindi kirefu sasa Korea ya kaskazini imekuwa ikijitutumua kwa uwezo wake mkubwa wa kijeshi na vifaa vya kivita ilivyonavyo pamoja na kuwekewa vikwazo mbalimbali.

Source-http://www.bbc.com/news/world-asia-43296671 : BBC,6/4/2018.




About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.