SPORTS

RED-ARMY WAMCHAPA VITATU CRYSTAL PALACE


Hapo jana ilishuhudiwa mechi yenye msisimuko zaidi huko nchini uingereza ambapo Manchester United alimaarufu kama RED DEVIL wakikiputa na Crystal Palace.
Matumaini ya kikosi cha Mourinho yalionekana kufifia hapo dakika za awali kutokana na kuambulia patupu huko wakipigwa magoli mawili.

Matumaini yao yalirejeshwa hapo baadae kupitia kwa mchezaji Smalling ambae aliipatia timu ya Manchester United goli la kwanza. Magoli mengine mawili ya Manchester United yalitiwa kimyani na Lukaku 76' na baadae Matic 90' +1.

Kutokana na matokeo hayo ya jana sasa Manchester inakuwa imefikisha pointi 62 huku wakitanguliwa na Manchester City wenye pointi 78.

BOFYA HAPA CHINI KUTIZAMA MAGOLI YOTE (CRYSTAL PALACE V MUFC)

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.