ENTERTAINMENT

Video: Video nne za Tanzania zilizochezwa na Trace TV july 25 2016

Tayari nimezipata ngoma video tatu kutoka Tanzania zilizochezwa  kwenye kituo cha kimataifa cha Trace Tv leo July 25 2016,  kama hukupata time ya kuangalia Trace TV leo nimekuwekea list hapa ambapo watanzania watatu wamepata nafasi hii.
 Vanessa Mdee na wimbo wa “Never Ever” ndio kapata nafasi ya kuonekana kwenyehits & Lyrics, ngoma ya Ali Kiba ya  “Aje” kama smash hit , “Please don’t go awayngoma ya Mayunga ft Akon wa marekani kupingwa katika Urban 10 pamoja na “Kidogo” ya Diamond Planumz aliyewashirikisha Psquare wa Nigeria kuchezwa kama Brand New Hit.
20160725_160410
20160725_172259
20160725_182324
20160725_160410
20160725_172259
20160725_182324
20160725_192720

ULIKOSA VIDEO YA  DIAMOND PLATNUMZ KWENYE SHOW YA AFRICA ONE MUSIC FESTIVAL NEWYORK MAREKANI? ICHEKI VIDEO NIMEKUEKEA HAPA CHINI

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.