LIFESTYLE

Yapi ni Mavazi Sahihi kwa mama Mjamzito?


 

Watu wengi huamini ujauzito nikikwazo cha mwanamke kuendelea kuonekana mwenye mvuto hasa kwakuendana na mazingira. Hivyo wengi wao hupendelea kuvaa mavazi kama DIRA zaidi.

 

 Ukweli ni kwamba mwanamke mjamzito anaweza kuvaa kwendana na wakati bila kujali ukubwa wa ujauzito wake.

 

Mwanamke mjamzito anaweza vaa vazi kama kaptula, gauni refu, sketi fupi, suruali na nguo nyinginezo bila kuathiri afya yake wala ya mtoto.



About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.