PICHA: MAENEO 4 UNAPOWEZA VALIA VAZI LA SUTI
Ukiachana na masharti ya vazi la suti, vazi hili linaweza kukufanya mwenye muonekano mzuri na mvuto kwa jamii pia pindi ulivaapo. Kama yalivyo mavazi mengine pia vazi la suti lina mazingira yake. Pindi ulivaapo basisi hakika utafanana na kuendana sawa na mazingira.
HAYA NI MAZINGIRA 4 AMBAPO WAWEWZA VALIA VAZI LA SUTI.
1. Katika Harusi
Siku ya harusi ni siku ya kipekee kabisa katika maisha. Kwa wengi harusi hufungwa mara moja tu. Nikwanini usipendeze siku hiyo ya muimu kwako ama kwa ndugu na jamaa zako ukiwa katika vazi la suti? Siku ya harusi wengi hupendelea kupiga picha za kumbu kumbu, basi ukiwa ndani ya vazi la suti waweza pendeza sana.
2. Katika Vikao
Katika vikao ndipo mara nyingi watu mbali mbali wanaweza kukutana kuzungumza mambo yanayoathiri Biashara ama mambo yao ya msingi. Inashauriwa kulinda heshima yako hata kama huna fedha valia vazi la suti.
3. Mikutano Rasmi
Kitaalamu wanaita (Formal Gathering). Hapa pia ni mahala pengine unaweza kukutana na watu mbali mbali na walevo mbali mbali za kiuchumi. Unashauriwa unapokuwa katika maeneo hayo pendelea kuvaa vazi la suti kwa dhamira kuu mbili. Moja kulinda heshima yako. Pili kuwa na muonekano mzuri.
4. Makutano ya Kwanza
Watu wengi hasa wanaume hujisahau kujiweka sawa kimavazi siku za awali wanapokutana na watu wanaovutiwa nao(wasichana). Wengi hujivalia nguo mradi nguo. Vazi la suti ni sahihi zaidi siku ya kwanza ya makutano. Wazungu wanamsemo "First Impression Always Matter'` manake muonekano wako wa awali unaweza kukujengea picha nzuri ama kukuvurugia kabisa.
0 comments:
Post a Comment