Daktari mmoja wa tiba ya maungo
amesema kuwa vijana wadogo wanahatarisha afya yao ya uzazi kwa kuangalia
sana picha za ngono katika mitandao ya kijami.
Awali watu wazima ndio waliokuwa wakitembelea vituo vya afya wakikabiliwa na matatizo kama kushindwa kusimamisha uume kutokana na magonjwa kama vile sukari ama yale ya moyo.
Lakini utazamaji wa picha za ngono mitandaoni unaharibu mahusiano ya ndoa kwa kuwa vijana wengi wanavutiwa zaidi na picha za ngono katika mitandao badala ya binaadamu.
0 comments:
Post a Comment