ENTERTAINMENT

HISIA ZA KANYE WEST JUU YA KUUTAKA URAIS WA MAREKANI 2020



Mwaka jana juu ya steji ya tuzo za MTV VMA rapa KANYE WEST alitoa kauli au tamko kwamba atawania Urais wa Marekani ikifika mwaka 2020 tamko ambalo watu wengi walilichukulia Kama utani.

Sasa kupitia kituo cha redio cha BBC radio 1, kilizungumza na Kanye kwa njia ya simu juu ya kauli ile na Kanye alisema kilichomsukuma hasa ni kuumizwa na mateso dhidi ya watu weusi, vifo na ubaguzi dhidi yao, “We are numb, we’re numb to 500 kids getting killed in Chicago a year, we’re numb to the fact that it was seven police shootings in the beginning of July … we’re numb to places on the Earth that we don’t live – like our life is okay but it’s okay for other people’s lives to not be okay." Alisema Kanye na kuendelea huku akisisitiza kuwa anaingia kwenye suala hili pasipokuwa na mawazo ya kisiasa ila anaingia akiwa na mawazo au mtazamo kuwapigania watu, anasema hapa

When I talk about the idea of being president, I’m not saying I have any political views, I don’t have views on politics, I just have a view on humanity, on people, on the truth. If there is anything that I can do with my time and my day, to somehow make a difference while I'm alive I'm going to try to do it."-Kanye West


About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.