ENTERTAINMENT

INDE: Dully Sykes, Harmonize, Gigy Money na Amber Lulu watia fora.....

 

Hichi hapa kipini kinginge tena cha DULLY SYKES akimshirikisha msanii anaekuja kwa kasi sana tokea katika lebo ya wasafi 'WCB'.

Katika kipini hicho Harmonize tokea WCB ameonekana kufananishwa sana na Diamond Platnumz kutokana na staili yake ya kucheza, kuvaa, na kuimba. 

INDE ndio jina la nyimbo wakiwemo ndani mastaa kama Gigy Money na wengineo. Kama bado hujaiona hii itizame hapa.






About felichismi

1 comments:

Powered by Blogger.