GOSSIP

Ni kweli The Game amelala na Kim Kardashian, je alipata ruhusa ya Kanye kuongelea issue hio?…


Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa taarifa za The Game aka Jayceon Terrell Taylor, kilala na Kim Kardashian ni za kweli ila mahusiano yao yalitokea zamani sana kabla binti huyu hajawa na Kanye West.
Kwenye wimbo mpya wa The Game “Sauce,” anasema  “I used to fuck bitches that Usher Raymond passed off / Then I fucked three Kardashians / Hold that thought.”.
Baada ya mstari huu kusikika taarifa zilizothibitishwa ni kuwa
>The Game aliwahi kuwa na Kim Kardashian tu na sio dada zake wengine, kwa hio amelala ni Kardashian mmoja na sio watatu.
>Kanye West alimruhusu The Game kutumia mstari huo sababu The Game aliomba ruhusa kabla hajautumia.
kim

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.