ENTERTAINMENT

RayMond akosolewa na Mashabiki baada ya kuweka picha akiwa na muonekano huu wa nywele instagram,Zitazame comments hapa


Msanii RayMond kutoka WCB amejikuta akipokea comments nyingi zenye mtazamo hasi baada ya kupost picha kadhaa akiwa ana muonekano mwingine.
Raymond alipost picha tofauti tofauti zikimwonyesha amesuka rasta ,kitu ambacho mashabiki wake wengi wameonekana kutopendezwa nacho kama comments zinavyoonyesha hapo chini.mondray 1 ray 2 ray3ray5

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.