SPORTS

MATOKEO YA MECHI ZOTE ZA LEO KUELEKEA KOMBE LA DUNIA 2018


Wakati mechi kadhaa zikiendelea kutafuta tiketi ya kucheza kombe la dunia 2018 ni dakika chache tu zimepita baada ya kukamilika kwa mechi ya Belarus na France huku timu zote mbili zikitoshana nguvu.

Griezmann amejitaidi kupambana kiume katika mechi hiyo akipata sapoti kutokea kwa mchezaji wa Man United (Pogba) ingawaje hawakueza kupata goli lolote mpaka kukamilika kwa mechi hiyo.

Matokeo ya mechi zingine zilizochezwa leo ni pamoja na: Portugal v Switzerland (2-0), Sweden v Holland (1-1), Bosnia v Estonia (5-0),

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.