ENTERTAINMENT

Picha: Mionekano mipya ya Baadhi ya Mastaa wa movies za miaka ya tisini.....

 
KELVIN akiwa na umri wa miaka nane aliweza kuigiza movie ya Home alone ambapo familia yake ina msahau ndani ya nyumba na kuelelea Paris movie hii iliachiwa tarehe 6 november 1990.Ni movie nzuri ambayo huwavutia watoto wengi kwa komedi zake Kelvin ambaye jina lake halisi ni MACAULAY CULKIN na huu hapa chini ndio muonekano wa sasa wa mtoto huyo.




STEVE WA TAMTHILIA YA FAMILY MATTERS
JALEEL WHITE ni msanii wa komedi aliyetamba katika tamthilia ya Family Matters (1989-1998) akiwa na umri wa miaka 12 akijulikana kwa jina la steve. Na kwa sasa huu hapa chini  ndio muonekano wa mchekeshaji huyo






BINK WA BABY'S DAY OUT
JACOB JOSEPH WORTON  na ADAM ROBERT WORTON waliigiza kama baby “bink” katika movie ya Baby’s day out mwaka 1994 na movie hiyo kupata umaarufu mkubwa sana duniani. Kitu ambacho ulikua hufaham ni kwamba,  watoto hao walikua mapacha waliofanana na ndio maana waliweza kuigiza kama mtoto BINK katika nyakati tofautu na walikua na miezi sita tangu kuzaliwa kwao ila walikua na uwezo mkubwa wa kupokea maagizo hivyo kufanikisha movie ya baby’s day out.

ADAM WORTON KUSHOTO KATIKATI NI BINK NA KULIA NI JACOB WORTON

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.