INTERNATIONAL NEWS

Donald Trump uso kwa uso na Kim Jong un


Rais wa Marekani Donald Trump amepokea wito wa Korea ya Kaskazini kukutana na kiongozi wa nchi hiyo Mwezi wa tano mwaka huu. Pamoja na mambo mengine yanayotarajiwa kuzungumzwa wawili hao watapokutana ni pamoja na kusitisha mpango wa nyuklia.

Maraisi hao wanakutana kufuatia vitisho vya mara kwa mara vya pande zote mbili vilivyochukua zaidi ya mwaka sasa. Hata ivyo kupitia mtandao wake wa Tweeter Donald Trump ameweka bayana kuwa vikwazo dhidi ya Korea ya Kaskazini havitositishwa mpaka kukamilika kwa mazungumzo hayo yanayotarajia kufanyika.

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.