LOCAL NEWS

RAISI MAGUFULI: DAIMA NITAENDELEA KUSEMA UKWELI


Mheshimiwa Raisi wa awamu ya tano Daktari John Pombe Magufuli akihutubia katika uzinduzi wa tawi jipya la CRDB huko wilayani Chato amesisitiza kuwa daima yeye atakuwa msema ukweli na ni vizuri wananchi wamchukie kwa kusema ukweli lakini aokoe maisha ya wananchi walio wengi.

Sambamba na nilo Raisi Magufuli pia alisisitiza kuwa watu wasipofanya kazi vyuma vinaweza bana mpaka kufa.

Kutizama video yote bonyeza hapa chini....
 

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.