ENTERTAINMENT

ENTERTAINMENTAvril wa Kenya akanusha kuwahi kutoka kimapenzi na Diamond,soma zaidi hapa..

Msanii Avril kutoka Kenya amekanusha tetesi zilizowahi kuvuma huko nyuma kuwa anatoka kimapenzi na msanii nyota wa bongo fleva Diamond.
Akiongea na kipindi cha Planet Bongo Cha East Africa Radio Avril ambaye aliwahi kuwa Video vixen kwenye video ya kesho ya Diamond ambapo baada ya hapo ndipo tetesi za kuwa alikuwa akitoka kimapenzi na Diamond zikaanza, amesema kuwa tofauti na ku shoot video hiyo hakuna chochote kilichoendelea kati yake na Diamdond zaidi ya urafiki.
Baada ya pale Hakukuwa na project yoyote..(yaani mapenzi)..tulikuwa na project ya kesho tu” alifunguka Avril na kudai kuwa Diamond hayupo kama watu wengi wanavyomfikiria na kudai kuwa Msanii huyo ni mpole.

About Unknown

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.