ENTERTAINMENT

KING KIBA AENDELEA KUFANYA VIZURI KIMATAIFA.

Msanii mkongwe kutoka nchini Tanzania Alimaarufu kama Alikiba ameendelea kufanya vizuri katika television mbalimbali na nyimbo yake "AJE". Ikikamata namba sita katika mfululizo wa nyimbo kumi bora za Trace Tv leo Tarehe 27/7/2016 msanii Mayunga naye ameonesha kuwa mwenye mvuto mkubwa na kukubalika zaidi baada ya kushikilia nafasi ya 9 katika chat hizo za urban hit 10.

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.