ENTERTAINMENT

Watanzania wazidi kufanya vizuri Trace TV (Urban Hit 30)


Leo July 31 2016  ninaendelea kukusogezea video za Bongo  ambazo zinaendelea kupata airtime katika vituo vikubwa vya TV, Trace Urban hit 30 wamezitaja video tatu tu kutoka Tanzania na wasanii walioingia kwenye listi hii ni Nedy Music na ngoma yake “usiende mbali“, Ali Kiba na “Aje” pamoja na Mayunga na ngoma yake “Please don’t go away” aliomshirikisha Akon.

 20160730_230936

 20160730_233118

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.