Diamond Platnumz kutoshiriki Fiesta 2016
Masanii maarufu hapa nchini Diamond Platnumz yupo katika hati hati za kutoshiriki Fiesta, 2016 na hii ina tokana na Msanii huyo kuwa na mkataba na kampuni la mawasiliano Vodacom Tanzania. Fiesta 2016 imedhaminiwa na Tigo ambayo nayo ni kampuni kubwa hapa nchini katika maswala ya mawasiliano.
Sambamba na sababu zingine Tigo imedhamiria kujitangaza kibiashara nchi nzima na kupitia Fiesta basi inaweza timiza hadhma hiyo. Swali ni Diamond Platnumz atasaini mkataba wa fiesta 2016?
Nakama jibu ni ndio, Je hilo halitoweza athiri mkataba wake yeye na vodacom?
0 comments:
Post a Comment