ENTERTAINMENT

WCB: Ishara mbaya zaonekana...


Hizi ni ishara za kuvunjika kwa kundi la WCB ambalo linaundwa na wasanii kama Diamond Platnumz, Harmonize, Raymond na wengineo wengi.

Raymond ambaye hapo awali alikuwa msanii wa TipTop alijiunga rasmi katika kundi la Wasafi linaloongozwa na Diamond Platnumz hivi karibuni.

Lakini ni jambo la kushangaza hasa katika msimu huu wa Fiesta, 2016 ambapo msanii Raymond alipotia saini kushiriki katika Fiesta kupitia TipTop huku akiwaacha wasani wenzake wote wa WCB wakiwa hawajaonesha ishara za wao kushiriki.

Swali La kujiuliza: Je Raymond yupo chini ya WCB ama TipTop?

Tizama video hapa chini.

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.