GOSSIP

Diamond Platnumz: Ni Sawa Wema na Zari wakiwa Marafiki


Diamond Platnumz alimaarufu kama Simba akifanya interview na television moja maarufu huko nchini Tanzania "EATV" katika kipindi cha Exclusive alisikika akisema yeye anaona ni jambo jema tu endapo aliyekuwa Ex wake "WEMA SEPETU" akiwa rafiki na mpenzi wake wa sasa "ZARI".

Alieleza ni majuzi tu Wema Sepetu alimposti katika social media akimtaja kuwa MCM wake. Diamond Platnumz alisema kupishana kupo ila suluhu ni jambo la msingi zaidi.

Mbali na hayo Diamond alizungumzia mambo mengine kama WCB Records na kusema ile sio studio ya wasaniii wa WCB tu bali kila msanii anaweza fanya nao kazi.

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.