DONALD TRUMP KUBADILI SERA ZAKE..
Wakati wagombea wa Uraisi nchini Marekani wakiendelea kuomba kura Mgombea uraisi kupitia chama cha Republican Donald Trump akiwa mjini Ohio alisema kuwa yupo tiyari kushirikiana na NATO baada ya ummoja huo kuanzisha kitengo maalumu cha kupambana na waislam wenye itikadi kali.
Imeripotiwa katika chombo kimoja cha habari [DW] mgombea huyo amebadili sera zake baada ya hapo awali kusema kuwa hatoshirikiana na NATO. Aidha Trump amesema Dola itawaoji kwa kina wataokuwa wanataka kuamia nchini Marekani.
0 comments:
Post a Comment