Famahu R.I.C.O Ya MEEK MILL Na DRAKE Ilipofikia......
Baada ya Story nyingi Ambazo zili bamba katika mitandao ya kijamii kuhusu
Rapper Drake Kutarajia kupata mtoto na Rihana..
Kwa sasa Jipya Nikwamba Collabo ya Meek Mill na Drake “R.I.C.O.” imefikisha mauzo milioni moja na kutangazwa kuwa Platnum Single. Wimbo huu ulitoka mwaka 201.
Hivi karibuni mwalimu wa Drake Wa Maswala ya Muziki ‘Jas Prince’ alisema beef ya Drake na Meek inakaribia kuisha.
SIKILIZA HAPA CHINI
KUPATA HABARI KILA SIKU JIUNGE NASI KUPITIA.. FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM.
0 comments:
Post a Comment