GERMANI WAIVURUGA NIGERIA KATIKA MICHUANO YA OLIMPIKI
Timu ya Ujerumani imefanikiwa kutinga fainali ya kuwania medali ya dhahabu huko nchini Brazili baada yakuifurumusha timu ya Nigeria kwa goli mbili bila.
Magoli ya Germani yalitiwa nyavuni na Klostermann na Petersan. Hii nimara ya kwanza kwa kikosi hicho cha Ujerumani kufuzu hatua hiyo ya nusu fainali na kwa matokeo hayo Germani itakutana na wenyeji Brazili siku ya Jumamosi katika mechi ya fainali.
0 comments:
Post a Comment