SPORTS

OLIMPIKI: BRAZILI KUCHUKUA MEDALI YA DHAHABU

 Brazil Honduras Olympic soccer
Ni saa chache tu zimepita tangu wenyeji wa mashindano ya michuano ya Olimpiki 2016 Brazili kuichakaza timu ya Honduras goli 6-0. Goli la kwanza katika mechi hiyo lilitiwa nyavuni na mchezaji wa Barcelona katika sekunde ya 15 nakujitengenezea rekodi ya kipekee kwa goli la mapema zaidi kuwai kufungwa katika michuano hiyo.

Magoli mengine ya Brazili yalifungwa na Gabriel Jesus 26min. & 35min., Marquinhos, Luan 79min., na Neymar alijipatia goli lake la pili dakika za mwisho kupitia penalti ambayo iliihakikishia kikosi cha Brazili uhakika wakuingia fainali katika michuano hiyo.

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.