ENTERTAINMENT

Hii Hapa nyimbo ya Chege na Diamond: Waache Waoane.






12328155_911056058971702_1099985093_n

Baada ya wasanii Chegge na Diamond Platnumz kufanya vizuri na kibao chao cha 'Uswazi take away remix' msanii Chege amefanya collabo jingine na Diamond 'Waache waoane' ambacho kinafanya vizuri katika vituo mbali mbali vya habari.
Tazama nyimbo hii hapa chini.......

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.