INTERNATIONAL NEWS

Mfahamu Mfalme kutoka Japan aliyedhamiria kung'atuka hivi karibuni........



Japan's Emperor Akihito waves to well-wishers who gathered at the Imperial Palace to mark his 82nd birthday in Tokyo, Japan, December 23, 2015. REUTERS/Thomas Peter/File photo
Mfalme wa Japan 'Akihito' alitumia muda wake mwingi katika kuisaidia nchi yake dhidi ya mahafa yaliyotokana na vita vya pili vya dunia.

Kupitia vyombo mbalimbali toka nchini humo imesemekana mfalme huyo ametangaza nia yake ya kung'atuka katika kiti chake kwa kile alichokisema ni kudhorota kwa afya yake. Mara ya mwisho inakumbukwa 1817 mfalme mwingine Kokaku ndiye aliyeacha historia ya kung'atuka.

Ikumbukwe Akinhito (83 years old) alisumbuliwa na maradhi ya kansa yaliyopelekea kufanyiwa operesheni ya moyo (heart surgery). Hata hivyo Akihito amekuwa akionesha masikitiko yake na kukemea vikali sababu zote za kutokea kwa vita. Alisikika akiyasema hayo  katika maadhimisho ya miaka 70 toka kutokea kwa vita vya pili vya dunia.
Mfalme Akihito

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.