INTERNATIONAL NEWS

Hillary Clinton akanusha tuhuma zilizoenea juu ya Clinton Foundation


Mgombea kiti cha uraisi Marekani Bi Hillary Clinton kupitia ukurasa wake wa Twitter ameendelea kukanuisha hoja zakuwa Clinton Foundation ni mfuko wa maslai binafsi.

Bi Hillary Clinton ameonesha kwa mfumo wa takwimu ni namna gani mfuko huo umekuwa ukisaidia waathirika wa HIV/AIDS kote ulimwenguni.


About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.