INTERNATIONAL NEWS

Waziri Mkuu Italy katangaza hali ya atari kwa Miji iliyoathirika na Tetemeko la Ardhi


Wakati idadi ya vifo imekuwa na kuifikia 267, Majerui wa tetemeko la Ardhi lililotokea siku ya Jumatano wameongezeka nakufikia 400.

Waziri mkuu wa sasa ametangaza hali ya atari baada ya maafa hayo kukumba miji mitatu nchini humo. Sambamba na hilo pia Waziri Mkuu ameahidi kusaidi ujenzi wa makazi mapya kwa manusura hao wa tetemeko.

Wakati serikali nchini Italy ikiendelea na swala zima la kurejesha majerui katika hali zao za awali kupitia matibabu, waendesha mashtaka wa serikali nao wametangaza nia ya kumtafuta ni nani anapaswa kulaumiwa baada ya tukio hilo.

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.