ENTERTAINMENT

KAMA HUKUPATA ITAZAMA VIDEO YA KIDEBE HII HAPA...



Mwanamuziki Dogo Janja alimaarufu kama 'Janjaro' ameachia video ya nyimbo yake ijulikanayo kama KIDEBE saa chache zilizopita. Nyimbo hiyo imepokelewa vizuri na mashabiki wake wa mziki. Hili limethibitika baada ya video hiyo kufikisha watazamaji 31,800 na likes zaidi ya elfu mbili katika you tube tokea hapo jana iliporushwa hewan kupitia You Tube.

KUTIZAMA VIDEO YA KIDEBE BOFYA HAPA CHINI
 

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.