SPORTS

Van Persie kukutana uso kwa uso na Man Utd EUROPA


Moja kati ya mambo ya kipekee yanayotarajiwa na wengi ni pamoja na Van Persie (mshambuliaji wa Fenerbahçe kukutana uso kwa uso na waliokuwa wachezaji wenzake toka Man Utd.

Zaidi ya hilo pia Mchezaji Samatta na timu yake ya sasa (GENK) wameangukia grupu F. Kwa sababu hizo basi umakini na jitiada kubwa zinaitajika tokea kwa wachezaji wa Genk hasa ukizingatia timu pinzani kama Sassuolo ni timu hatari na zenye sifa nzuri kimpira.

Haya hapa ni magrupu na timu zitazoshiri katika Europa Ligi.

Group A: Manchester United (ENG), Fenerbahçe (TUR), Feyenoord (NED), Zorya Luhansk (UKR)

Group B: Olympiacos (GRE), APOEL (CYP), Young Boys (SUI), Astana (KAZ)

Group C: Anderlecht (BEL), St-Étienne (FRA), Mainz (GER), Qarabağ (AZE)

Group D: Zenit (RUS), AZ Alkmaar (NED), Maccabi Tel-Aviv (ISR), Dundalk (IRL)

Group E: Viktoria Plzeň (CZE), Roma (ITA), Austria Wien (AUT), Astra Giurgiu (ROU)

Group F: Athletic Club (ESP), Genk (BEL), Rapid Wien (AUT), Sassuolo (ITA)

Group G: Ajax (NED), Standard Liège (BEL), Celta Vigo (ESP), Panathinaikos (GRE)

Group H: Shakhtar Donetsk (UKR), Braga (POR), Gent (BEL), Konyaspor (TUR)

Group I: Schalke (GER), Salzburg (AUT), Krasnodar (RUS), Nice (FRA)

Group J: Fiorentina (ITA), PAOK (GRE), Slovan Liberec (CZE), Qäbälä (AZE)

Group K: Internazionale Milano (ITA), Sparta Praha (CZE), Southampton (ENG), Hapoel Beer-Sheva (ISR)
Group L: Villarreal (ESP), Steaua Bucureşti (ROU), Zürich (SUI), Osmanlıspor (TUR)

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.