SPORTS

HILI HAPA GOLI LA MARCUS RASHFORD DHIDI YA HULL CITY (0-1)


Ni katika dakika ya nne ya nyongeza baada ya dakika 90 za mchezo kukamilika mchezaji kinda kabisa Rashford anatia mpira nyavuni baada ya kazi nzuri ya Rooney.

Marcus Rashford anakuja kubadili mchezo mzima wa Man Utd akitokea benchi na kufanya mashetani hao wekundu kujinyakulia pointi zao tatu za nguvu katika muda wa lala salama. Goli la Rashford ni matokeo ya uzembe wa Elmohamady wa Hull City.

Hongera Rashford, Hongera Man Utd, Honhera uingereza.


About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.