ENTERTAINMENT

Dogo Janja awa tishio kwa wasanii wa bongo


Muda mfupi tu baada ya msanii Dogo Janja a.k.a Janjaro kufanya vizuri na nyimbo yake ya My Life akishirikiana na Radio na Weasil, msanii huyo kutokea Arusha ameachia nyimbo nyingine 'KIDEBE' inayo fanya vizuri katika vyombo vingi vya habari hapa nchini.

Katika nyimbo hiyo Janjaro tokea TipTop amethibitisha yeye ni mkali asiye na upinzani kutokana na namna yake na ubunifu katika utunzi wa mashahiri. Katika nyimbo hiyo Janjaro amewataja wasanii mbali mbali akiwemo Kajala, Wema, Wolper, Harmonize na wengineo wengi.

Kama hukupata bahati ya kusikia nyimbo hiyo tazama nasi hapa.

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.