SPORTS

Olimpiki: Brazil wanyakuwa medali ya dhahabu dhidi ya Wajerumani

 

Wenyeji wa michuano Brazili wakiongozwa na Neymar wameibuka washandi wa medali ya dhahabu dhidi ya Wajerumani. Nikama kulipiza kisasi cha magoli saba waliyofungwa na Ujerumani katika kombe la dunia 2014 lakini aibu yao itabaki milele.
 brazil-olympics-football_3766919

Baada ya dakika 120 timu hizo mbili zilikwenda katika hatua ya matuta baada ya kuwa na matokeo ya mfanano (1-1). Neymar aliiakikishia timu yake ubingwa kwa mkwaju wake wa mwisho alioufunga kwa umairi mkubwa katika uwanja wa Maracana (5-4).

Golikipa wa Brazil,Weverton.

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.