SPORTS

Manchester City waichakaza Skoke Cty kwa goli nne

 Sergio Agüero celebrates after opening the scoring for Manchester City.
Baadaa ya ushindi mzito wa Man City walioupata jana sasa wao ndio vinara wa Ligi kuu ya uingereza wakiwa na pointi sita kama ilivyo kwa Man United.

Hii ni mechi ya tatu mfululizo Man City wakiwa wanaibuka washindi katika viwanja tofauti baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Sunderland, 5-0 dhidi ya Fc Bucuresti na 4-1 dhidi ya Stoke City.

Waliofunga magoli katika mechi hiyo ni pamoja na Sergio Arguero na Nolito.
 Nolito slots home Manchester City’s third.


About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.