SPORTS

PICHA: Schalke 04 kupoteza mwelekeo....Gurdiola azidi kujiimarisha.....



Bado headlines za usajili barani Ulaya zinazidi kuchukua nafasi kila kukicha, leo August 2 2016 klabu ya Man City ya England imetangaza kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji ambaye pia ana uwezo wa kucheza nafasi ya winga Leroy Sane kutoka Schalke 04.
Man City wanaofundishwa na kocha wao Pep Gurdiola wamethibitisha kumsajili Leroy Sane kutoka Schalke 04 kwa ada ya uhamisho wa pound milioni 37 na kumpa mkataba wa miaka mitano staa huyo.

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.