INTERNATIONAL NEWS

TEXAS: Sheria mpya kuruhusu wanazauoni kujilinda kwa silaha za moto.......


Kituo kikubwa cha habari BBC kimetaja mji wa Texas nchini Marekani kupitisha sheria ya wanafunzi wenye umri kuanzia miaka 21 kuruhusiwa kuingia na silaha aina ya bunduki madarasani vyuoni kwao, sababu kubwa walizozitoa ni kuelezea juu ya matukio 12 ya kupigwa risasi yaliotokea kwenye vyuo vya marekani kwa mwaka 2016.

Texas imekuwa mji wa 8 kwa vyuo vyake kupitishwa sheria hiyo ili wanafunzi kujilinda na mauwaji ya watu wengi yaliyokua yakitokea hapo awali nchi Marekani.




About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.