SPORTS

PICHA: Sherehe za ufunguzi Rio Olimpiki 2016.....


Katika uwanja wa Mariccana takribani mataifa  200 yamejitokeza na kuonesha dhamira ya kushiriki katika mashindano ya Olimpiki 2016. Sherehe hizo zimeanza kwa kurushwa kwa fataki huku mashabiki waliotoka katika sehemu mbalimbali za ulimwengu wakifurahia. Wkati huo usalama umekua ukiimarishwa eneo la hilo.

Tizama picha zote na matukio hapa.

Usalama umeimarishwa katika ukumbi wa ufunbguzi wa michezo hiyo
 Picha za vifaa vya usalama katika uwanja wa ufunguzi wa Olimpiki 2016.

Fireworks over Maracana stadium with the Mangueira 'favela' community in the foreground
                                         Picha za shangwe viwanja vya Mariccana

Performers in the opening ceremony at the Maracana stadium
                                           Watumbuizaji katika viwanja vya Mariccana.
Mashabiki wa Brazil waliojaa katika uwanja wa MariccanaM                                              Mashabiki wabrazili katika uwanja wa Mariccana.

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.