ENTERTAINMENT

WEMA SEPETU: Ex wa Diamond Platnumz atuma salamu za pongezi kwa Tiffah.....

 Nimwaka mmoja sasa toka Tiffah kuzaliwa. Katika page mbalimbali za instagram mastaa kibao akiwemo Wema Sepetu wameonekana wakimpongeza mtoto huyo ya kumtakia maisha marefu leo 6/8/2016.




Mbali na salamu toka kwa Ex wa Diamond bibie Wema Sepetu Diamond Platnumz kupitia ukurasa wake wa instagram alikuwa na haya yakumwambia mwanae.


About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.