GOSSIP

Randy Orton ataja jina lamtoto wake mtarajiwa...


Mwanamieleka maarufu kabisa kote duniani na mwenye historia ya kumiliki mkanda wa uzito wa juu katika mieleka akiwa na umri mdogo kuliko wote "Randy Orton" anatarajia kumpata mtoto wa kike hivi karibuni toka kwa kipenzi chake.

Kupitia vyombo mbalimbali vya habari mwanamieleka huyo ametaja jina la mtoto wake mtarajiwa kuwa ni "Brooklyn". Brooklyn ni jina la mji ambapo mkewe Kim alizaliwa huko.


About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.