Ni saa chache tu zimepita toka kuanza kupiga kura wa huko nchini Zambia kumchagua Raisi na viongozi wengine wa nchi hiyo.
Hali ya kiusalama imezidi kuimarishwa na jeshi la police la nchi hiyo katika kuhakikisha uchaguzi huo unakamilika kwa amani.
Matokeo ya uchaguzi huo unaofanyika leo tarehe 11/8/2016 yanatarajiwa kutangazwa mapema ijuma ama jumamosi ya mwezi huu huu.
0 comments:
Post a Comment