SPORTS

Chelsea yapokea kichapo toka kwa Majogoo wa England (1-2)


Hii ni historia kwa kocha wa Chelsea Antonio Conte kupoteza mechi yake ya nyumbani tangu 2013 akiwa amekwisha chezea mechi takribani 30.

Goli la Chelsea liliwekwa kimyani na mchezaji wao Costa japo walizidiwa ujanja na Liverpool na kufanya mechi ikamilike kwa kichapo cha 1-2.

Matokeo hayo yanaifanya Chelsea kuwa na pointi 10 ikiwa imekwisha cheza michezo mitano huku Liverpool ikiwa nyuma ya Chelsea katika msimamo wa ligi kuu kwaidadi ya magoli japo wamelingana pointi.

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.