SPORTS

WACHEZAJI WATATU WANAOLIPWA ZAIDI KATIKA MPIRA WA MGUU 2016/2017


Ukiachia mbali kuama kwa baadhi ya wachezaji tokea klabu moja kwenda nyingine huko barani Ulaya. Baadhi ya wachezaji wameendelea kubaki katika vilabu vyao huku wakipokea donge nono zaidi kuliko wengine kote ulimwenguni.

Katika msimu huu wa 2016/2017 wa mchezo wa mpira wa miguu wachezaji kutokea vilabu vya Barcelona na Real Madrid wameonekana kuongoza katika kuwalipa wachezaji wao vizuri zaidi.

Christiano Ronaldo, Leonel Messi na Neymar ndio wachezaji wajuu kabisa wakiongoza katika kupokea malipo makubwa zaidi baada ya kukatwa kwa kodi.

1. Cristiano Ronaldo (Zaidi ya shilingi Billioni 179)

2. Leonel Messi (Zaidi ya shilingi Billioni 168)

3. Neymar JR (Zaidi ya shilingi Billioni 78)


Based on Millard Ayo News.

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.