GOSSIP

PICHA: MAHUSIANO YA JADEN NA SARAH


Jaden Smith mtoto wa Will ameendelea na maisha mengine yakimahusiano na mwanadada mwingine aitwaye Sarah Synder. Ukiachana na uzuri pamoja na umaarufu wa mrembo huyo jambo lingine linalozunguka katika mitandao mbali mbali ya kijamii ni swala la umri wa Sarah(21) kuwa mkubwa zaid ya Jaden (17).

Swala hilo kwa Jaden si kitu kwani ameonekana kufurahia mahusiano yao siku hadi siku na mwanadada Sarah.
 sarah-snyder-instagram-ex-post-ftr

Pengine ulikuwa haufahamu mwanadada Sarah anasifa kadhaa ikiwepo ya kutokuwa na aibu hasa anapokuwa na hisia juu ya boy friend wake(Jaden). Pia ni model na anafanya vizuri hasa kutokana na muonekano wake wenye mvuto sana.
Jaden Smith Sarah Snyder Gypsy Sport - Front Row - Spring 2016 MADE Fashion Week

Jaden & Sarah

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.