VIDEO: HII HAPA NYIMBO MPYA YA DIAMOND NA RAYMOND
Ni saa chache sasa toka kuachiwa kwa nyimbo mpya ya Diamond Platnumz akishirikiana na Raymond. SALOME iliyopo katika madhari ya kitamaduni zaidi imeonekana kuvutia wengi wakiwemo mashabiki wa WCB na watanzania kwa ujumla.
Ndani ya nyimbo hiyo mastaa kibao wameonekana wakiinogesha nyimbo hiyo akiwemo Tunda, Harmonize, Wolper, A. Ezekiel, Queen D. na wengineo.
Bofya hapa chini kuitizama video hiyo....
0 comments:
Post a Comment