MANCHESTER UTD WAPOTEZA MECHI DHIDI YA WATFORD (3-1)
Machester Utd alimaarufu kama mashetani wekundu wamelazimika kumaliza mchezo wao dhidi ya wenyeji Watford kwa kichapo cha goli 3-1.
Goli la Man Utd lilitiwa nyavuni na mchezaji wao kinda kabisa Rashford. Hata ivyo jitihada zao zilipoteza mwelekeo baada ya Deeney wa Watford kuipatia goli la 3 na la ushindi dakika ya tisini na kufanya mashetani hao wekundu kubakia na pointi 9 huku Watford wakiwa na pointi 7 katika msimamo wa ligi.
0 comments:
Post a Comment