SPORTS

Arsenal wapata ushindi mnono dhidi ya Ludogorets (6-0)


Arsenal alimaarufu kama washika bunduki wametoka kimasomaso mbele ya wapinzania wao katika mchezo uliomalizika hivi punde. Magoli sita ya Arsenal yaliowafanya wafikishe pointi 7 katika kundi lao yalitiwa nyavuni na wachezaji M. Ozil (3), T. Walcott (1), Alex Sanchez(1) na Alex Oxlade(1).



Tizama Highlight ya magoli hayo kwa kubofya hapa chini...

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.