ENTERTAINMENT

FIESTA 2016-ARUSHA: JANJARO ANATARAJIWA KUFANYA HAYA HAPA...


Mwaka huu umeonekana kuwa mwaka wa mafanikio kwa msanii kutoka Arusha, dogo janja baada ya kimya cha mda mrefu sana rapper huyu amerudi na spidi ya 4G maana ameachia ngoma mbili pamoja na remix moja ambazo zote zimefanya poa sana. kwa sasa celeb huyo anatamba na nyimbo yake ya kidebe ambayo nayo inafanya vema sana.

Baada ya kutumbuiza vyema huko Kilimanjaro leo ni zamu ya Arusha mahali ambapo ndio chimbuko la msanii huyu. Maelfu ya watu wameonekana kujaa kwa wingi maeneo itapofanyika show hiyo huku wakionekana kutarajia pefromance kali zaidi kutoka kwa Dogo Janja, Weusi na wasanii wengine.

Kama hukuweza kushuhudia perfomance ya celebrity huyo hii ni video clip yake ikionyesha jinsi mashabiki wa moshi walivyo mpokea msanii huyo....

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.