ENTERTAINMENT

HII HAPA VIDEO YA VANESA MDEE AKITUMBUIZA NCHINI KENYA


Msanii maarufu nchini Tanzania alimaarufu kwa jina Vanesa Mdee alipata bahati ya kutumbuiza katika kituo maarufu cha Tv nchini Kenya 'Citizen'.

Vanesa alionekana kuwabamba sana wakenya waliokuwa katika studio za kituo hicho na kuwafanya wabaki wakipiga nduru muda wote.

TIZAMA VIDEO KWA KUBOFYA HAPA CHINI...

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.