ENTERTAINMENT

Dogo Janja:"Vitu vizuri huwa ndio vinapingwa"


Msanii maarufu kwa jina la Dogo Janja 'Janjaro' ameweka bayana kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuwa aidia iliyopo katika wimbo wake mpya uitwao Wayuwayu ni aidia ambayo alishauriwa na aliikubali.

Kwake yeye Janjaro anaitizama aidia hiyo ambayo imemfanya kuwa na mionekano miwili (wakike na wakiume) katika video hiyo kama sehemu ya ubunifu. Janjaro aliongezea kuwa anaamini amefanya kitu kizuri na huwa vitu vizuri ndio vinapingwa. Katika kuthibitisha hilo alitowa mfanowatu ambao wapo na wanampinga Mungu.

BOFYA HAPA CHINO KUTIZAMA VIDEO 'WAYUWAYU'

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.