SPORTS

LIONEL MESSI-REACHES 600 GOALS IN HIS FOOTBALL CAREER


Ni masaa machache yamepita baada ya Mchezaji Lionel Messi wa Argentina kufikisha jumla ya Magoli 600 katika maisha yake ya soka. Idadi hiyo inafika baada ya kufunga magoli 61 kupitia Argentina (timu yake ya taifa) na magoli 539 kupitia klabu yake ya mpira.

Goli hilo lililotimiza magoli 600 alilipata hapo jana alipoipatia pointi tatu za msingi Barcelona dhidi ya Atletico Madrid. Kwa maana hiyo Barcelona imeendelea kuushikilia usukani wa ligi nchini Hispania msimu huu.

About felichismi

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.